Baada ya Jarida la #ChartData Kuripoti kuwa Wimbo wa UNDER THE INFLUENCE wa @chrisbrownofficial kuwa ndio wimbo Namba 1 Ambao umekuwa ukitafutwa zaidi Duniani katika Mtandao wa Shazam, Kupitia Komenti @chrisbrownofficial Amewashukuru Mashabiki zake ambao wamekuwa wakimsapoti na kusikiliza kazi zake.
Mbali na hilo @chrisbrownofficial Amemshukuru Staa wa Muziki kutoka...
- Producer:Much More beat
- Release Date:August 18, 2022





