Kwa Mujibu Wa Ripoti Mbalimbali, Mahakama ya Manhattan Nchini Marekani, imempa #Davido siku 21 kujibu kesi ya madai ya kuiba wimbo. Wasanii wanne kutoka Nigeria “Martins Chukwuka, Abel Umaru, Kelvin Campbell, na David Ohioghena” wanamtuhumu Davido kuiba wimbo wao Uitwao “Work” Wa 2022 na kuutumia kutengeneza Ngoma Yake Ya “Strawberry...