Shirika la Takwimu na uchambuzi wa masuala ya kimichezo, Africa Soccer Zone limetoa takwimu za vilabu barani Afrika baada ya kumalizika kwa hatua ya Robo fainali na kukusanya alama muhimu katika msimamo wa vilabu CAF.
Katika Takwimu hizo klabu ya Simba Sc imejikusanyia alama baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali...