Rapa Ye, (zamani #KanyeWest), amewaacha mashabiki na wafuasi wake midomo wazi baada ya kudai kuwa analipa kiasi cha dola 200,000 za Kimarekani kwa mwezi (sawa na takribani Shilingi 533,749,000 za Kitanzania) kama matunzo ya watoto wake wanne na aliyekuwa mke wake, #KimKardashian.
- Producer:Dingooo
- Release Date:April 11, 2025




