Kampuni ya Infinix, Tayari imezindua simu mpya ya Infinix Note 5. Simu hii inambaboresho mapya pamoja na uwezo zaidi. Leo tunaenda kuangalia sifa na muonekano wa Simu mpya ya Infinix Note 5. Kwa maandishi unaweza kusoma sifa za simu hii kupitia link hapo chini.
LINK MAALUM
1. Sifa kamili za Infinix Note...
- Producer:Tanzania Tech
- Release Date:July 21, 2018
- Album:Maujanja Vol 1


