Jifunze #Maujanja jinsi ys kuzuia mtu yoyote kuhack akaunti zako za mitandao ya kijamii za Twitter, Facebook na Instagram. Kumbuka ni muhimu sana kuweka namba za simu pale unapojisajili na mitandao hii kwani wengi wanao lalamika kudukuliwa (kuhackiwa) akaunti zao unakuta hawakuweka namba za simu.
LINK MAALUM
1. Kujifunza hatua kwa hatua...
- Producer:Tanzania Tech
- Release Date:July 21, 2018
- Album:Maujanja Vol 1


