Jifunze #Maujanja Jinsi ya kuroot simu yoyote ya Android bila kutumia Kompyuta. Kwa kuanza hakikisha unatumia simu za Samsung, LG, HTC au Motorola. Pia hakikisha toleo lako la Android ni kuanzia Android 2.1 hadi toleo la Android 7.0, Vilevile hakikisha kuwa simu yako ina chaji angalau asilimia hamsini. Pia hakikisha...
- Producer:Tanzania Tech
- Release Date:July 21, 2018
- Album:Maujanja Vol 1


