Kipindi cha leo ni muendelezo wa mada ya kujua jinsi ya kumiliki ardhi Tanzania. Leo tupo na Wakili Msomi Victor Mwakimi, na mazungumzo ya leo ni kujua hasa jinsi mtu anaweza akamiliki eneo ndani ya jengo. Pia kuzungumzia kuhusu haki azipatazo mtu anayenunua eneo ndani ya jengo au eneo na...
- Release Date:May 26, 2021


