Kwenye Kipindi cha leo tupo na Mawakili Wasomi, Deogratius Bwire pamoja na Nuru Maro wakitupitisha katika Sura ya Pili ya Katikba ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, hususani kwenye Muundo wa Serikali ya kwa mujibu wa katiba hii na madaraka ya Rais.
Mawakili wasomi wanatuelezea kwa kina, muundo wa serikali...
- Release Date:April 25, 2023


