Katika kipindi cha leo, Mwenyekiti wa jukwaa la katiba Tanzania, Mwalimu Deus Kibamba Pamoja na Wakili Msomi Paul Kisabo wanaendelea kutuelimisha juu ya ibara mbalimbali za katiba hii, katika sura ya kwanza, na mpangilio mzima wa sura hii.
Wazungumzaji wetu wanatuelezea juu ya umuhimu wa sura hii na changamoto zilizopo,...
- Release Date:April 25, 2023


