Mara nyingi tumekuwa tukisikia Vijana wengi wa kitanzania wakilalamika kwa ukosefu wa maitaji mbali mbali hasa linapokuja swalala kimaendeleo. Wengi fikia hatua ya kufiki ya kwamba pengine wao hawana wajibu wa kubadilisha maisha yao kwa kazi na hivyo kutupia lawama serikali.
Pengine uwa wanakosa maarifa ya kukujua wajibu wa maisha yao...
- Producer:jitambueforums
- Release Date:June 14, 2020
- Album:MAISHA NA MTAJI AKILI





