Tatizo la Afya ya akili limeibuka na kushamiri kwa kasi, mpaka kufikia Serikali kuliweka kama moja ya kipa umbele cha kuangalia kwa sasa, lakini si kwamba dalili hazikuonyesha mapema, kwani moja ya sababu zinapelekea tatizo hili kuwa kubwa ni NDOA, hasa zile za wazazi kuchagulia mabinti/ Vijana wenza wa maisha,...