Unajua thamani ya "UJANA WAKO"?.Unaijua THAMANI YA UAFRIKA WETU?
Unajua wajibu wako Katika taifa hili la Tanzania Kama Mtanzania, Kama Kijana mwenye wajibu wa kubadilisha maisha yako mwenyewe na maisha ya jamii? .Hii ni Moja ya interview yenye vitu ambavyo vitabadilisha kabisa mtizamo wa maisha yako kutoka kwa @kellzmbowe C.E.O...
- Producer:Pius Joseph,Jitambueforums Tv
- Release Date:August 7, 2021
- Album:THE SOUL OF TANZANIA PODCASTS




