Wimbo huu umebeba ujumbe kwa watu wote wanaohitaji msaada kutoka kwa Mungu.Watu Wana watu wakuwainua katika kupata Ajira, Elimu, kuwezeshwa kiuchumi na shida kadha wa kadha. Nasi tunamuomba Mungu akusimamishe katika kila gumu unalolipitia afungue mlango.Kwani akikusimamisha Akuna wa kukushusha chini daima. Mbarikiwe Sana.