Uwepo wa changamoto maishani mwangu umenifanya nijifunze kumshukuru Mungu kwani sio lazima anitoe katika jaribu au dhoruba ila hata katikati ya majanga yanayotokea nimeamua kumshukuru , kwani amshukuruye Mungu ndiye ampendezaye . Shukuru kwa kila jambo kwani Mungu anakuwazia yaliyo mema siku zote hivyo hata mazingira yawe magumu kiasi...
- Producer:Sucess Music
- Release Date:February 28, 2020




