🙏🙏Barikiwa na wimbo huu #SITAOGOPAMABAYA​ .
Haijalishi ni mazingira gani yanayoinuka kinyume na wewe , Kili ushindi na jiambie kuwa #SitaogopaMabaya​ . Ndio mambo yanaweza kukutisha ila Mungu anakwambia #UsiogopeMabaya​ Kwa kuwa yupo pamoja nawe . 🙏🙏
🔥🔥USIACHE KULIKE , SHARE NA KUCOMMENT NA MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI 🙏🙏
🔥Shukrani zangu...
- Producer:Stekalove
- Release Date:March 3, 2021




