Hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano maalum kati ya The Chanzo na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe yaliyofanyika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam mnamo Novemba 27, 2021.Kwenye sehemu hii, Zitto Kabwe, ambaye alipata kuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini kwenye Bunge la 11, anaeleza namna...
- Release Date:December 2, 2021




