Karibu kwenye Mtazamo wa Pili (Ep 04), katika kipindi hiki tumeangalia Tozo ambayo serikali imependekeza kwenye bajeti yake ya mwaka 2024/25 kwa ajili ya gesi inayotumika kwenye magari
Tanzania ina takribani futi za ujazo za gesi Trilioni 57, hata hivyo ni asilimia moja tu imeweza kutumika katika kipindi cha miaka 20,serikali...
- Producer:Jackson Noah
- Release Date:June 21, 2024



