Hii ni sehemu ya tatu na ya mwisho ya mahojiano maalum kati ya The Chanzo na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe yaliyofanyika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam mnamo Novemba 27, 2021. Kwenye sehemu hii, Mbunge huyo wa zamani wa Kigoma Mjini anaeleza tathmini yake ya miaka 60...
- Release Date:December 6, 2021




