Dar es Salaam. Vitali Maembe ni moja kati ya wasanii wachache sana nchini Tanzania ambao unaweza kusema muziki wao unaakisi moja kwa moja kile wanachokifanya kwenye jamii zao husika kama wanachama wa jamii hizo. Ni msanii anayeonekana kukerwa na aina zote za dhuluma lakini sana sana dhuluma zinazofanywa na wale...
- Release Date:December 1, 2021




