Mchoraji wa vibonzo mashuhuri nchini Tanzania Masoud Kipanya amesema hawezi kusema kwa asilimia 100 kama yuko huru kutekeleza sanaa yake hiyo, akibainisha kwamba akiamua kuwa huru kabisa “basi tutagombana [na] tutaudhiana” na watu mbalimbali.
Kipanya, ambaye jina lake halisi ni Ali Masoud, amesema hayo wakati wa mahojiano maalum na The...
- Release Date:February 8, 2023




