Katika dunia iliyojaa changamoto
Mali hupita, watu hukusahau
Lakini kuna mmoja hubaki – Yesu.
‘Fedha na dhahabu si kila kitu –
Neema ya Mungu imetubeba.
Efe 4:6
Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote.
- Release Date:July 15, 2025




