NINAKUAMANIA - Wafilipi 4:13
Wimbo huu una elezea namna ambavyo ππ»ππ»
Mungu hutupatia nguvu zinazohitajiwa ili kuvumilia na kutimiza yale anayotuita tufanye.
Nguvu hii si nguvu ya kimwili au ya kihisia, bali ni neema ya kimungu inayowawezesha waamini kuishi sawasawa na mapenzi ya Mungu.
- Release Date:May 25, 2025




