Majambazi waliokuwana na silaha za moto wamevamia na kuiba fedha na Simu Dukani kwa Mfanyabiasha wa Miamala ya Fedha ( M PESA ) lililopo Mji mdogo wa Benako wilayani Ngara,Mkoani Kagera na kupora Sh milioni 6 za Kitanzania na elfu 40.
Tukio hilo limetokea jana, July 06, 2016,...
- Producer:MWANAWAMAKONDA BLOG
- Release Date:July 7, 2016





