Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzindua mpango wa ugawaji wa madawati yanayotengenezwa kutokana na fedha zilizotolewa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kubana matumizi katika bajeti yake.
Uzinduzi huo umefanyika jana tarehe 13 Julai, 2016 katika...
- Producer:Ikulu
- Release Date:July 14, 2016




