Saga la Urusi vs Ukraine limeamsha mataifa na matamko ni mengi.Wengi hawakuamini au kuwa na uhakika kama #VladmirPuttin angefanya tukio hili lakini amelifanya anyway na sio wa kwanza.Je?yalianzaje na tumefikaje hapa?Nini hatukioni nyuma ya pazia.Hii ni part 4 usikose kufuatilia ijayo