Ukifuatilia mgogoro wa Israel na Palestina ,’bezikale’ ni pande mbili za watu wanaogombani ardhi moja na kila mmoja akiamini yeye ndo mwenye haki.Kuna ambao wanaamini PRAY FOR PALESTINE na kuna wanaoamini ISrael ni taifa teule ya MUNGU kwahiyo wana haki.Na kuna ambao wanasikiliza FACTS wachague pa kukaa, alafu kuna sisi...