#PichaLinaanza episode ya leo tupo kwenye TEKNOLOJIA tukitumia matukio halisi yaliyowahi kufanyika na jinsi yalivyotatuliwa ,ambapo yanatupa uelewa kuhusu udukuzi na ukishalielewa jambo halikusumbui.Ni ulimwengu usiokwepeka so ni muhimu kutafuta #Maarifa haya kwa lugha simpo sana na ndicho tunakupa hapa.Hii ni part 1,usikose ijayo
#TaarifaNamaarifa #Hacking #Udukuzi #hacker