Ukweli na uhalisia ambao hatutabishana sana ni kwamba 'wese limepanda' na maisha yamepanda kote duniani na kifupi TUNAOUMIAniSisi na sababu zipo kadhaa,lakini KUBWA LAO sio vita Ukraine na Russia inayoendelea kama wengi wanavyo simplfy ,hapa utaelewa kwa lugha rahisi zaidi....Hii ni PART 1 usikose ijayo.