Kama binadamu ataangamia siku moja kwa kitu ichotengeneza mwenyewe,basi ni SILAHA ZA NYUKLIA ndo zitakazoileta hii siku.Na BAD NYIUZ ni dalili za kosa dogo la maangamizi zimenukia sana.RUSSIA imetangaza itazitumia na dunia ina kiwewe!Hii ni sehemu utakayoelewa mengi muhimu kuhusu NYUKLIA na SILAHA ZA NYUKLIA .Hii ni part 1 usikose...