TRUE STORY hii ni episode itakayokupa mwanga zaidi kuhusu ugaidi na jinsi ambavyo tunajenga tabia kisha tabia zinatujenga,kwanini watu hushawishika kujiunga na magaidi?swali lako litajibiwa kwamba kila maamuzi madogo mabaya yanakuingiza kwenye hatari kubwa zaidi.
Kwa wale wa africa mashariki tunaweza kurelate zaidi na story ninayowaletea ya AIMEN DEAN mshkaji kijana...