COVID-19 ni mjadala dunia nzima sasa,lakini maswali ni mengi na hoja mpya kila siku.Kwanini magonjwa ya mlipuko wa virus huanzia China? Je?wanaoleta hoja ya 'Covid 19 lab theory' wakiwemo USA wao wanasemaje na kwanini? #Pichalinaanza HII NI part 3 (mwisho)