ALPHA ni jina lililoshine sana wakati wa mashindano ya kusaka vipaji africa mashariki nchini Kenya TPF.Miaka kadhaa baadaye sanaa yake anaifanya akiwa CANADA.Kutoka huko tunajadili naye mengi kuhusu future ya biashara ya burudani africa mashariki,tulipotoka,tulipo ,tuendako na mengine mengi.Enjoy #LivenaGeeRoundUP
- Producer:Grayson Gideon
- Release Date:June 11, 2022
- Album:LIVE NA GEE





