Maisha yetu ya leo na kesho, Duniani na hata Mbinguni ni matokeo ya Matendo yetu wenyewe katika wakati uliopita na uliopo. Neno hili si Kwa ajili ya kukosoa imani yoyote bali ni ujumbe wa kutukumbusha matokeo ya Matendo yetu wenyewe.
AMEN
- Release Date:April 15, 2022




