SAUTI zinaishi. SAUTI zina Nguvu na
Mamlaka. Hizi ni SAUTI zinazobeba ukweli mgumu kukubalika. SAUTI hizi hazitasikika bure bali zitaweka alama mpya kwenye maisha yetu.
-Kuna msitari mwembamba sana kati ya UHAI na KIFO na ni jukumu letu kuhakikisha kuwa SAUTI zetu zinaimarisha msitari huu huku tukiikumbuka kauli ya Martin...
- Producer:MO
- Release Date:May 3, 2022




