SHALOM wapendwa katika YESU KRISTO,
Hakuna jina jingine hapa Duniani, linalopaswa kusifiwa ila jina la Yesu pekee, MUNGU wetu ameitamda Mbingu kama pazia, hii inaoneaha namna alivyotamalaki Dunia nzima,na amejivika nuru kama vazi lake, popote alipo Yesu giza linakimbia . ZABURI 104:1
MUNGU wetu ni Mwamba na amejitambulisha mwenyewe, ISAYA...
- Release Date:December 3, 2023




