Wapenzi katika Kristo
Kuna wakati tunamzuilia MUNGU kufanya kazi nasi yaani kututumia kama anavyopenda YEYE kwa kuwa na visingizio vingi vyenye maana na visivyo na maana.
Mimi binafsi nilikuwa sizingatii wala kutilia maanani kile Mungu alichonipa kukifanya na wakati mwingine niliona ni mawazo yangu
Sasa Mungu kaniita tena, kwa mara...
- Release Date:November 12, 2023




