Mwanzo wa penzi letu
Watabiri walikuwepo wengi sana
Wakasema penzi letu
Hata si lakudumu tutaachana
Mpaka sasa tupo kwetuu
Hakuna noma ni malavidavi kupeana
Aibu yao aibu yetu
Mi naona wao utabiri wao umekwama
Aaahhhh nanana
Kwa sasa tunaenjoy life lifeee
Waliotaka tupotee tupoteee
Check walivyo na bad life
Hatuna budi tuwapotezee potezee
Penzi letu linazidi kwenda juu
Nalina nguzo imara
Halijengwi kwa matope
Mtetezi wetu...