"Tutaonana Tena" ni wimbo wa heshima wa mwisho kutoka kwa msanii maarufu wa nyimbo za Injili, Datty Tz, ukiwa umetayarishwa na mmoja wa watayarishaji bora nchini, Goodluck Gozbert. Wimbo huu unatoa faraja na matumaini kwa wale wanaoomboleza wapendwa wao waliotangulia mbele za haki. Ni nyimbo yenye ujumbe wa kina wa...