Wimbobwangu mpya "Diamond" ni dedication (maalumu) to all fans of Diamond Platnumz,fans ambao wanamzimia na kumtafuta kiasi hiki kinachoimbwa na pia ni maalumu kwa fans wa maarufu wengine ambao nao wanapitia hali hii katika kuwatafuta maarufu wao. Ni kwa nia njema tu. Enjoy muziki mzuri.
- Producer:Bashabra
- Release Date:January 23, 2022





