Uploaded By
VIEW PROFILE
202 Followers
Karibu muisikilize nyimbo yangu mpya “Mke wangu” naidedicate kwa wote wenye wake wapate ujumbe na kamwe wasiruhusu mwanaume yoyote kuingia kwenye himaya zao.Ukigusiwa mke wako na ukaacha leta vagi wewe ni waajabu kama choo cha meli kisicho na maji.
- Release Date:March 23, 2026Ⓡ
- Album:Single
- Producer:Mafeeling
- Genre:Hip-Hop/Rap
