🙏 TWAKUSHUKURU MUNGU 🙏
Ni wimbo wa sifa na shukrani unaogusa mioyo, ukibeba ujumbe wa imani, matumaini na ushindi. Kupitia sauti zilizojaa upako wa
KING.ALBERT x CLEOMELODY ft CANBOY, tunatangaza shukrani kwa Mungu aliye chanzo cha ushindi wetu.
🎶 WINNERS SOUNDS ni jina letu la pamoja kama wasanii tuliounganishwa katika kazi hii, likiwa...
- Release Date:January 18, 2026
- Album:VoiceChanger_Speed Up




