NANI KAMA BWANA
(Live Record Performance in Mwanza 2026)
Done By KING.ALBERT
Karibu kwenye ibada ya kusifu na kuabudu kupitia wimbo “NANI KAMA BWANA”, uliorekodiwa LIVE Mwanza mwaka 2026.
Huu ni wimbo wa kumtukuza Mungu wetu aliye juu ya yote, hakuna kama Yeye, hakuna afananaye naye kwa nguvu, upendo na uaminifu.
Kupitia uimbaji huu wa...
- Release Date:January 8, 2026




