Niachie Moyo Ni Wimbo Maalumu wa Mapenzi Kwa Wahanga wa kuumizwa Na wenzio wao hasa Katika KIPINDI KIGUMU Cha utafutaji wao,Wimbo huu umeimbwa na ZAX 4REAL na Umeandaliwa na Producer MDACHI THE FUNCKY Katika Studio za WADACHI MUSIC
- Producer:MDACHI THE FUNCKY
- Release Date:November 8, 2025
- Album:Wadachi Music 0768556262




