Lugha Ya Nyenza inawakumbusha wachenguaji matumizi fasaha ya lugha hasa utamkaji sahihi wa herufi katika mpangilio wa maneno, pia kukumbusha thamani ya muda na uwepo wa kiumbe katika kupambanua na kuyamudu mazingira yake katika malengo chanya na kuamini kwamba kila jambo linawezekana kunako fikra sahihi.
"Nyenza Emcee" 23rd July 2017
#VichwaVyaHabari