Mzee wa miaka hamsini amejiunga na darasa la kwanza katika shule ya msingi Nyamagana B jijini Mwanza. Mzee Abdarah Mabindo alisema kuwa alichukua uamuzi huu akikukusudia kujiunga na mfumo wa dijitali pamoja na kufahamu kusoma na kuandika.
- Producer:#Mtz
- Release Date:April 9, 2017


