Niokoe ni wimbo wa toba kwa watu na dini zote, vijana mpaka wazee ambao hawaitaji tena kuishi katika maisha ya dhambi yawezekana ukawa wewe basi wimbo huu ukupe nafasi ya kujitafakari na kubadiri mwenendo wa maisha yako na kumtumainia yeye. {BARIKIWA}
Audio Production by @Gripamusic +255676717235/ +255717101101
Video Production by @Einxer...
- Producer:Gripa music
- Release Date:April 22, 2021





