INTRO
Right up
Mmmhhhuuu
Yoooh!
CHORUS (Veboy)
You are my moonlight girl x8
VERSE(Udobizy)
Yeah
Haya mapenzi nayokupa we huoni
Nakuja home kwenu kila siku hunioni (yooh)
Kutwa nzima me nashinda kwenye phone (Kutwa nzima me nashinda kwenye phone)
Aaah
Kila jema hulioni (yeah yeah yeah yeah)
Sema basi ka unipendi au vipi
Isije siku ukanitema kama big G
Ila maana huzioni...