Karibu kuskiliza wimbo mpya wa msanii aitwaye Nanay unaoitwa Taratibu ikielezea mahusiano yenye malengo na uvumilivu katika hali ngumu hivyo kutotumia udhaifu wa umaskini kumtesa mwenzi wako au akupendaye huku akitumia ladha za afrobeats na bongoflava na kuleta mziki mzuri wenye uhalisia na tamaduni za kiafrika
Hellow listen to Nanays new...
- Producer:Ink,try4ne,the golden sound
- Release Date:May 2, 2024




