Urithi wa Adamu ni filamu za michoro (animated film) fupi tano zinazohusu historia ya watu muhimu kwenye Biblia. Hizi ni nyimbo zetu ambazo tumezitumia kwenye filamu hii. Karibu kusikiliza nyimbo hizi pia waweza kutumia instrument hizi kuimba mwenyewe.
1 Comment